Thursday, January 15, 2015

TIGO YAJA NA TAMASHA LA 'TIGO MUSIC' Ni Januari 24, Viwanja vya Leaders, Wasanii kibao kukonga mioyooo!D

Diamond Platinum akilonga wakati wa Utambilisho wa wasaniii watakao shiriki tamasha hilo.
Alikiba nae akateta jambo wakati wa utambulisho na uzinduzi huo.
Shilole atakuwepo.
Isha Mashao na Mashauzi Classic nao wataleta mashauzi yao.
Mzee wa Sikinde aliwakilisha nao watakuwepo. Bila kusahau Msondo!
Mkubwa Fela yeye alitia guu na Wanawe! Yamoto Band.

No comments: