Wednesday, January 14, 2015

WATAALAMU WA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBELEA KITUO CHA KUONGOZA NDEGE.

Meneja wa Kitengo cha Uongozaji Ndege, Mwanajuma Kombo, akifafanua jambo kwa wataalamu kutoka Wizara ya Uchukuzi, waliotembelea kituo cha kuongozea ndege leo asubuhi kufanya tathmini ya utoaji wa huduma katika usafiri wa Anga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA).
Meneja wa Kitengo cha Uongozaji Ndege, Mwanajuma Kombo akiwaonyesha wataalamu kutoka Wizara ya Uchukuzi, karatasi inayoonyesha aina ya ndege, mahali inapokwenda na muda itakaotumia inakokwenda, katika kituo cha uongozaji ndege kilichoko Katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere leo asubuhi wakati wataalam hao walipotembelea kituo hicho.
Mwanajuma Kombo (mwenye kilemba chekundu), akiwaelezaa wataalam.
Picha na Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi

No comments: