Sunday, February 22, 2015

DK.SHEIN AZINDUA MADRASA MAKUNDUCHI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuifungua  Madrasatul Al-Tawheed iliyopo Kiongoni Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja jana alipofanya ziara maalum katika wilaya hiyo (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Mhe,Haroun Ali Suleiman. Picha na Ikulu.

No comments: