Friday, February 27, 2015

MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI.

Bondia Francis Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Fadhili Majiha, utakaofanyika Feb 28 mwaka huu katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa.
Bondia Fadhili Majiha akipima uzito
Bondia Epson John wa Morogoro kushoto akitunishiana msuli na Vicent Mbilinyi, baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mratibu Antony Rutta.
Bondia Cosmas Cheka (kushoto) akitunishiana msuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika jumamosi ya feb 28 mwaka huu uwanja wa ndani wa taifa.

No comments: