Tuesday, February 10, 2015

MZIMU WA MOTO UMEENDELEA KUJIKITA JIJINI DAR, JENGO LA NHC LATEKETEA.

Jengo la shirika la Nyumba lililoko Mtaa wa Libya na Mosque Kisutu jijini Dar es Salaam likiteketea kwa Moto huku gari la Zimamoto la Jiji likiendelea kuzima leo hii.
Moto ukishatamu.
Moto umeshamiri.

No comments: