Wednesday, February 11, 2015

UONGOZI WAZARA YA AFYA WAKUTANA NA RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha siku moja cha Wizara ya Afya  kilichozungumzia utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni.
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (kulia) akiwa pamoja na watendaji mbali mbali  wakimsikiliza Waziri  Rashid Seif Suleiman  (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Afya na Idara zake mbali mbali  wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Rashid Seif Suleiman  (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

No comments: