Monday, March 16, 2015

E FM 93.7 KUFANYA SHEREHE ZA MWAKA MMOJA.

Denis Ssebo wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Kituo cha Radio cha 93.7 Efm, cha jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu sherehe za kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho zilizopewa jina la 'twende sawa'  ikiwa ni njia ya kuwashukuru wasikilizaji wa kituo hicho. Kushoto ni Mkuu wa vipindi Dickson Ponela.
Baadhi ya Waandishi wa habari waliojitokeza kwenye mkutano huo.
Kituo cha Radio cha 93.7 Efm cha jijini Dar es Salaam kimejipanga kufanya sherehe za kutimiza mwaka mmoja kwa kufanya matukio mbalimbali katika kipindi cha miezi miwili. Soma taarifa kamili hapo chini.


No comments: