Saturday, March 14, 2015

NDOGA ZA UKWELI JUMAPILI HII TAIFA.

Mabondia Said Mbelwa na Japhert Kaseba wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajiil ya mpambano wao wa jumapili ya march 15 katika uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es Salaam. Picha na Super D Boxing Coach.

Bondia Thomas Mashali akipima uzito kwaajili ya kupambana na Abdallah Pazi siku hiyo.
Bondia Said Mbelwa akipima uzito kulia ni mpinzani wake Japhert Kaseba akishudia kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya march 15 katika uwanja wa ndani wa taifa.
Abdalla Pazi nae alipima uzito.
Bondia Mada Maugo (Kushoto) na Karama Nyilawila wakitaka kuzichapa Kavu kavu mara baada ya kupima uzito.


No comments: