Thursday, March 26, 2015

WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO WAPIGWA MSASA.

Baadhi ya waandishi wa habari za michezo wakifuatilia mafunzo yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo (TASWA) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana na kudhaminiwa na Times Radio  na Valentino Royal Hotel.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila (Super D) akiteta jambo na Mkufunzi wa mafunzo hayo Salim Said Salim, muda wa mapumziko ya mafunzo hayo.
Baadhi ya waandishi hao wakifuatilia mafunzo hayo.
'Hata Msosi nao sehemu ya mafunzo!'

No comments: