Tuesday, July 7, 2015

RAIS WA ZANZIBAR AFUTARISHA MKOKOTONI.

Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiitikia dua Iliyoombwa baada ya Swala ya Magharibi wakati walipoalikwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein   (katikati) akiwana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao alipowaalika   katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya futari aliyowaalika   katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana

No comments: