Tuesday, August 25, 2015

WAZIRI WA ULINZI WA ZAMANI ALIVYO HENYESHWA NA JESHI LA POLISI TZ.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, akishuka kwenye gari la Polisi kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, ambapo alisomeswa mashtaka mawili ya kufanya vurugu kwenye kituo cha polisi cha Oyster bayjuzi jioni, alipokwenda kuwachukulia dhamana vijana wanadaiwa kufanya mkusanyiko usio wa halali eneo la Kinondoni.
Vijana waliodaiwa kufanya mkusanyiko haramu wakihesabiwa kabla ya kwenda kusimama kizimbani kwenye Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Duru za raha za pwani zilibaini kuwa vijana hao huendesha harakati za kumuunga mkono mgombea wa urais kupitia Chadema, ambao walikuwa wakimuunga mkono kabla hajahama na baada ya kuhama. Jina maarufu wanalotumia vijana hao ni 4U Movement.
Laurence Masha akipelekwa kupanda kizimba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.Safari ni safari safari moja huanzisha nyingine.


No comments: