Friday, August 21, 2015

BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE AKUTAN NA DK. SHEIN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar  leo.Picha na Ikulu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana  na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha 


No comments: