Sunday, August 23, 2015

CCM WAANZA KWA KISHINDO,Watuma salamu ukawa!

Wafuasi wa CCM wakishuhudia mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho kwenye viwanja vya jangwani leo jijini Dar es Salaa.
Mbanano ulikuwa ni mkubwa kwa wafuasi hao wakati kila mmoja akitaka kukaa eneo la karibu na viongozi wa chama hicho uku walinzi wa chama na jeshi la polisi wakiwadhibiti vilivyo.

Walinzi wa chama cha mapinduzi Green Guard wakiwadhibiti wafuasi wa chama hicho waliotaka kusogelea eneo la karibu na Jukwaa kuu.
Fimbo Oyeeeeeeeee, Kada wa CCM, Mtoto wa hayati Baba wa Taifa Julius Nyere, Makongoro Nyerere, akifanya vituko vyake.
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, akiwahutubia wafuasi hao wa ccm.
Rais Kikwete (katikati) akiwapigia makofi Dk.John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Samia Suluu Hassan mara baada ya kuwakabidhi ilani ya chama hicho wakati wa mkutano wao wa hadhara.

No comments: