Friday, August 21, 2015

HEKA HEKA UREJESHAJI FOMU, MGOMBEA WA CHADEMA ILALA NAE AREJESHA.

Mgombea Ubunge wa jimbola Ilala kwa Tiketi ya Chadema, Muslim Hassanali, akionyesha fomu yake kabla ya kuirejesha kwenye ofisi za manispaa ya ilala jijini Dar es Salaam leo.

Wagombea Ubunge wa Ilala, Muslim Hassanali (watatu kulia) na Ukonga Mwita Waitara, wakisalimiana walipokutana wakati wakirejesha fomu kwenye ofisi za Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam jana
Mgombea Ubunge wa Ilala, Muslim Hassanali, akimkabidhi fomu kwa Kaimu Afisa Uchaguzi wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Thomas, jijini Dar es Salaam.

No comments: