Friday, August 21, 2015

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA URUTUBISHAJI CHAKULA LAJA JIJINI DAR.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Kongamano la Kimataifa  la Urutubishaji Chakula linalotarajiwa kuanza Septemba 9 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN), Marc Van Ameringen.

No comments: