Monday, August 24, 2015

LOWASA NA STAILIMPYA YA KAMPENI

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala zinazofanya safari zake kati ya Buguruni na Chanika, ikiwa ni ziara maalum ya kuangalia kero ya usafiri wa umma kwa wakai wa jiji la Dar es Salaam.
Lowassa akimsalimia mama lishe.
Akipanda Daladala.
Wafuasi wakajitokeza.

Lowassa akiwasili
Mgombea Mwenza Juma Duni Haji akiwasalimia wakazi wa Mbagala.

No comments: