Thursday, August 27, 2015

MZOEZI YA NGUMI MTAA KWA MTAA, Leo yalifanyika Kariakoo.

Kocha wa Masumbwi, Haji Ngoso (kushoto) akimwelekeza bondia Thomas Mashali jinsi ya kutupa makonde mazito yaliyonyooka wakati wa mazoezi yake ya mtaa kwa mtaa kwa ajili ya mpambano wake na Ibrahimu Tamba utakaofanyika jumamosi ya agost 29 katika uwanja wa ndani wa taifa. mazoezi hayo yalifanyika katika makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi Dar es salaa.
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akielekezwa kutupa ngumi zilizo nyooka na kocha Haji Ngoso wakati wa mazoezi yake ya hadhara yaliyofanyika katika makutano ya barabara ya uhuru na Msimbazi Kariakoo jijini Dar es salaam jana.Mashali anajiandaa na mpambano wake na Ibrahimu Tamba utakao fanyika jumamosi katika uwanja wa ndani wa taifa.
Kocha Haji Ngoso kushoto Promota Kaike Silaju na Thomas Mashali wakiwa katika makutano ya Uhuru na Msimbazi Kariakoo

No comments: