Wednesday, September 23, 2015

CCM WAKOMALIA MDAHALO WA WAGOMBEA. Wakanusha kutopeleka jina MCT.

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya Chama cha mapinduzi (CCM) January Makamba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa kampeni za chama hicho na pamoja na kuthibitisha kuwa mgombea wao Dk.John Pombe Magufuli, kuwa atashiriki mdahalo wa wagombea wa Urais.
Akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.  

No comments: