Tuesday, September 8, 2015

GWAJIMA AMWAGA UGALI LEO! Amuumbua Dk.Slaa.

Mchungaji wa Kanisa Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, akizungumza na waandishi wa habari pamoja na waumini wa kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kauli mbalimbali alizozitoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Willibroad Slaa, akimtuhumu yeye kuwa ni mshenga wa Lowassa pamoja na kumpa siri za Maaskofu na wachungaji kuhongwa na  Lowassa ambapo alikanusha tuhuma zote.
Baadhi ya waandishi wa habari na waumini wa Kanisala Ufufuo na Uzima wakifuatilia mkutano wa Askofu wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo.
Walinzi waliomzinguka Askofu Gwajima wakisafisha njia.

No comments: