Sunday, September 6, 2015

HESHIMA YA P0LISI KWA WAGOMBEA WA UKAWA INAMAANA KWA SISA ZA MWAKA HUU!

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa(kulia) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Mjini kwa tiketi ya CUF, Peter Mkufya kwenye mkutano wa kamapeni uliofanyika kwenye Uwanja Town School mkoani Tabora. 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga Omary Ntungu akimpigia Saluti Mgombea mwenza wa Urais Chadema Juma Duni Haji, mara baada yakuwasili kwenye uwanja wa ndege leo.
TABORA JANA

No comments: