Tuesday, September 8, 2015

JK APATA TUZO, Ni mchango wake katika kutatua migogoro.

Rais Jakaya Kikwete akipokea  tuzo ya heshima toka kwa Mkurugenzi wa taasisi ya Kitabu cha Kumbukumbu za Afrika Mashariki (East Africa Book of Records) Dkt. Paul Bamutaze (kushoto), tuzo hiyo yenye lengo la kutambua mchango wa Rais Kikwete katika  kutatua migogoro mbalimbali Afrika ya Mashariki. Kulia ni Mkuu wa Mawasiliano wa taasisi hiyo Bwana Kato Isa na wapili toka kulia ni Mtafiti wa taasisi hiyo Bwana Luzinda Adam Buyinza.

No comments: