Saturday, September 5, 2015

HASSANALI WA ILALA AZINDUA KAMPENI.

Mgombea Ubunge wa Ilala kwa tiketi ya Chadema, Muslim Hasanali, akiwahutubia wakazi wa Ilala eneo la Karume jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa kampeni zake. 

No comments: