Saturday, October 3, 2015

DK.SHEIN ATIKISA GANDO PEMBA!

Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipowasili katika  uwanja wa mpira kijiji cha Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wa hadhara wa kampeniza CCM zinazoendelea,[Picha na Ikulu.]
Akiwasalimia wakazi wa wete.
Baadhi ya iongozi wa CCM Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa kampeni.
Kikundi cha Taarab cha Kangagani kinachoongozwa na Prof.Gogo kikitumbuiza wananchi na wanachama wa CCM waliohudhuria katika mkutano wa Hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Uwanja wa Mpira Kijiji cha Gando,wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba Jimbo la Gando,mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wafuasi wa CCM wakifuatilia mkutano huo.

No comments: