Saturday, October 3, 2015

LOWASSA ALIPO IMALIZA CCM MONDULI.

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, akilakiwa na wananchi wa Monduli wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli wa Chadema kupitia mwamvuli wa UKAWA, Julius Karanga, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni,
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Babati Mjini, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha, Babati Mkoani ManyaraNo comments: