Thursday, November 26, 2015

DK.SHEIN APOKEA TUZO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Tunzo ya dhahabu iliyopewa  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutoka kwa  Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana na Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed ( Gold Future Policy Award ) kwa mwaka 2015) ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council  katika Mji wa  Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20 kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika leo Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Akiangalia Tuzo hiyo.

No comments: