Thursday, November 26, 2015

WIZARA YA ELIMU YAJIPANGA KUENDANA NA KASI YA MAGUFULI.

Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jonathan Mbwambo, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mkakati mpya wa wizara hiyo utakaosaidia kukomesha tabia ya utendaji mbovu wa wafanyakazi wa wizara hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa. 

No comments: