Sunday, January 31, 2016

MWAKA WA NGEDERE WA KICHINA WASHEHREKEWA JIJINI DAR.


Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Dk.Salim Ahmed Salim, wakati wa sherehe za mwka mpya wa Kichina unaojulikana kwa jina la Mwaka wa Ngedere, kwenye viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es Salaam jana usiku.
Vijana wa Kichina wakijumuika na vijana wa Kitanzania kwenye onyesho la mavazi wakati wa sherehe hizo.

Wasanii kutoka nchini China wakicheza Dansi ya Ndoto ya Maua.Waziri Nape akichezesha Bahatinasibu kwenye hafla hiyo.
Ma MC wakisherehesha kwa lugha za Kichina na Kiswahili.No comments: