Friday, January 29, 2016

NDONGA KUTIKISA MARCH 12 DAR LIVE.

Bondia Iddi Mnyeke (kushoto) akitunishiana misuli na Mohamed kashinde wakati wa utambulisho wa mpambano wao jana katika GYM Uhuru viwanja vya basket mpambano utakaofanyika march 12 katika ukumbi wa Dar live mbagala jijini Dar es Salaam.

No comments: