Friday, January 1, 2016

PENGO ALAZWA MOI, MAGUFULI AFIKA KUMUONA.

Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufli, akiwa na mkewe Janeth Magufuli walipokwenda kumjulia hali, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhadhama Pilicap Kadinali Pengo, ambaye amelezwa kwenye Taasis ya Mifupa MOI ,Muhimbili jijini Dar es Salaam jana.

No comments: