Friday, January 15, 2016

WATUHUMIWA UHUJUMU UCHUMI WAPANDA KIZIMBANI.

Wakili wa Washtakiwa wa kesi ya uhujumu uchumi na kufanya udanganyifu wa tozo za simu za kimataifa na kuisababishia hasara serikali ya Sh.Billioni 8, Aloyce Bahebe (kushoto) akizungumza na mshtakiwa namba moja kwenye kesi hiyo,Hafidh Shamte, kabla ya kuanza kwa kesi hiyo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jjini Dar es Salaam jana. Wengine ni Raphael Onyango, Said Ally, Noel Chacha, Tinisha Max na Vishno Konreddy. 
Majina ya washtakiwa kutoka kushoto, Hafidh Shamte, Raphael Onyango, Said Ally, Noel Chacha, Tinisha Max na Vishno Konreddy. 

No comments: