Wednesday, February 3, 2016

BAVICHA WAKOMALIA MAANDAMANO YAO.*Yawasilisha tena barua Polisi na Ikulu.

Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Edward Simbei, akionyesha barua waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, yenye kusudio la kufanya maandamano ambayo yamezuiwa na jeshi la polisi kwa kuendelea kuwasiliana na Jeshi hilo kutafuta namnabora ya kufanikisha maandamano hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chadema Vyuo Vikuu (Chaso) na Katibu wa Bavicha Mkoa wa Kinondoni, Neema Mathias. 

No comments: