Thursday, February 4, 2016

BOMOABOMOA YATIKISA TENA JIJINI DAR LEO.

Tingatinga likibomoa majengo ya eneo la Shekilango ambalo linamgogoro kwa karibu miaka 20 baada ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa ukumu kwa upande wa mlalamikaji jana na leo kazi ya kubomoa kuanza kufanyika mapema asubuhi.
Kazi ikiendelea. Zaidi ya watu 300 wamepoteza ajira zao baada ya bomoabomoa wakiwemo Mama na Baba lishe na watumishi wa Bar na Hoteli za eneo hilo.

No comments: