Friday, February 12, 2016

HATIMAYE YANGA WAKWEA PIPA KUELEKEA MAURITIUS.

Wachezaji wa Yanga SC, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, kabla ya kuondoka kwenda nchini Mauritius kuchuana na Klabu ya Cercle De Joachim kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
No comments: