Sunday, February 14, 2016

HEKAHEKA MUHIMBILI!

Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhmbili (MNH), wakiingiza ndani ya Wodi ya wazazi vitanda vya wagonjwa baada ya kuhamisha ofisi zilizokuwemo kwenye jengo hilojana, kutokana na agizo la Rais Magufuli alilolitoa alipozungumza na wazee wa Dar es Salaam juzi.

Wakihamisha vitu jengo ambalo Rais magufuli ametaka zihamishwe ofisi na kupisha 

Vitanda vyafungwa.

No comments: