Tuesday, February 2, 2016

ILALA YAZINDUKA KUHUSU USAFI WA MAZINGIRA. Yapiga marufuk uoshaji wa magari ovyo, Uuzaji wa matunda mitaani. Gari la matangazo la randa mitaani.

Gari la Matangazo likipita eneo la Postampya mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam jana, likitangaza marufuku ya kuuza matunda, kuosha magari na kufanya biashara ya aina yoyote kwenye maeneo yasiyo ruhusiwa, huku wakitoa tahadhari kwa watakao kaidi amri hiyo. 
Kuna umuhimu wakufanyika juhudi zaidi za usafi kutokana na jiji la Dar s Salaam kukithiri kwa uchafu.

No comments: