Friday, February 12, 2016

KIDUNDA ADUNDA MTU KWA KO LEO!

Bondia wa ngumi za ridhaa Selemani Kidunda kutoka Ngome (kushoto), akimuangusha chini kwa makonde, mpinzani wake, Mstafa Mtoro wa JKT, kwenye  mchezo wa fainali ya Ubingwa wa Taifa wa Mchezo huo kwenye michuano iliyotarajiwa kukamilika jana viwanja vya Tanganyika Pakers Dar es Salaam jana. Kidunda alishinda kwa KO No comments: