Sunday, February 14, 2016

MSHINDI WA KWENDA UJERUMANI NA STAR TIME APATIKANA.

Balozi wa Kampuni ya ving'amuzi ya StarTimes,  kwa upande wa chaneli na vipindi vya michezo, Shaffih Dauda (kushoto), akizungumza na mshindi wa pili wa droo ya pili ya kujishindia safari ya kwenda Ujerumani kuangalia michezo ya Ligi Kuu ya nchi hiyo (Bundesliga), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Damien Leo na katikati ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abdalla Hemedy.

No comments: