Sunday, February 21, 2016

WAFANYABIASHARA ZA VINYWAJI WAPIGWA MSASA.

Wamiliki  na Mameneja wa biashara  za vinywaji vya rejareja wa mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wakimsikiliza mtaalamu wa masuala ya uendeshaji biashara, Nyakahija Manyama,  wakati wa mafunzo maalumu ya kuboresha biashara zao yaliyoandaliwa na Kampuni ya TBL Group yaliyofanyika katika mjini Moshi na kumalizika mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments: