Monday, June 6, 2016

JKT ILIVYOILIZA NGOME.

Mshambuliaji wa timu ya JKT, Samuel Kamutu (katikati), akiwatoka mabeki wa timu ya Ngome, katika mchezo wa fainali za mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana JKT ilishinda 2-0.

No comments: