Thursday, October 6, 2016

RAIS MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA.

Rais John Magufuli (mwenye miwani) akiangalia mfumo wa usindikaji matunda baada ya kuzindua kiwanda cha kusindika matunda cha Said Salim Bakhressa, kilichopo Kijiji cha Mwandege mkoani Pwani leo. 
Rais Magufuli akitembea maeneo mbalimbali yakiwanda.


Rais akisikiliza aelezo ya utendaji kazi wa kiwanda hicho mara baada ya kukizindua.
No comments: