Thursday, November 16, 2017

PROMOSHENI YA WESTERN UNION YAFANYIKA JIJINI DAR.

Farida Kibangu akiwa amefungwa kitambaa usonii akionyesha karatasi ya mshindi wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya promosheni ya Western Union inayoendeshwa na benki TPB. 

Mkurugenzi waTeknohama na Uendeshaji wa Benki ya TPB, Jema Msuya, akisoma kuponi za majina ya washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Western Union inayoendeshwa na benki hiyo.  Washindi watano walijishindia simu za mkononi na wawili walijishindia kompyuta mpakato. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa benki hiyo, Noves Moses.No comments: